🥊 Sparing si ugomvi, ni sehemu ya kujifunza na kujenga uwezo wa mpiganaji.
1 Visualizações
streetsfighters
06/10/26
Kila jab, kila dodge, na kila combination ni hatua moja karibu zaidi na ushindi. Nidhamu, kasi, na uvumilivu vinaendelea kujengwa kila siku ndani ya gym.
🔥 Mabingwa hawazaliwi, wanatengenezwa kupitia mazoezi ya kila siku.
-
Categoria
Mostre mais

Nenhum comentário encontrado