🥊 Sparing si ugomvi, ni sehemu ya kujifunza na kujenga uwezo wa mpiganaji.

1 Ansichten
streetsfighters
streetsfighters
06/10/26

⁣Kila jab, kila dodge, na kila combination ni hatua moja karibu zaidi na ushindi. Nidhamu, kasi, na uvumilivu vinaendelea kujengwa kila siku ndani ya gym.
🔥 Mabingwa hawazaliwi, wanatengenezwa kupitia mazoezi ya kila siku.

Zeig mehr

0 Bemerkungen Sortiere nach

Keine Kommentare gefunden