đĨ Sparing si ugomvi, ni sehemu ya kujifunza na kujenga uwezo wa mpiganaji.
1 āĻāĻŋāĻ
streetsfighters
06/10/26
âŖKila jab, kila dodge, na kila combination ni hatua moja karibu zaidi na ushindi. Nidhamu, kasi, na uvumilivu vinaendelea kujengwa kila siku ndani ya gym.
đĨ Mabingwa hawazaliwi, wanatengenezwa kupitia mazoezi ya kila siku.
-
āĻļā§āϰā§āĻŖā§
āĻāϰ⧠āĻĻā§āĻā§āύ

āĻā§āύ āĻŽāύā§āϤāĻŦā§āϝ āĻĒāĻžāĻāϝāĻŧāĻž āϝāĻžāϝāĻŧāύāĻŋ