๐ฅ Sparing si ugomvi, ni sehemu ya kujifunza na kujenga uwezo wa mpiganaji.
1 Mga view
streetsfighters
06/10/26
โฃKila jab, kila dodge, na kila combination ni hatua moja karibu zaidi na ushindi. Nidhamu, kasi, na uvumilivu vinaendelea kujengwa kila siku ndani ya gym.
๐ฅ Mabingwa hawazaliwi, wanatengenezwa kupitia mazoezi ya kila siku.
-
Kategorya
Magpakita ng higit pa

Walang nakitang komento