🥊 Pad Work by the Pool I Tanga Beach Resort
3 Görünümler
streetsfighters
06/05/26
Hakuna njia ya mkato kuelekea ushindi. 🥊💪
Bondia wetu akiendelea kunoa mbinu, kasi na nguvu kupitia mazoezi ya pad work katika mazingira mazuri ya swimming pool. Kila raundi ni hatua moja karibu zaidi na mafanikio.
🔥 Endelea kufuatilia Streets Fighters kwa mafunzo zaidi ya mapambano na maandalizi ya mabondia.
-
kategori
Daha fazla göster

Hiçbir yorum bulunamadı