๐ŸฅŠ Pad Work by the Pool I Tanga Beach Resort

3 Bekeken
streetsfighters
streetsfighters
06/05/26

โฃHakuna njia ya mkato kuelekea ushindi. ๐ŸฅŠ๐Ÿ’ช
Bondia wetu akiendelea kunoa mbinu, kasi na nguvu kupitia mazoezi ya pad work katika mazingira mazuri ya swimming pool. Kila raundi ni hatua moja karibu zaidi na mafanikio.
๐Ÿ”ฅ Endelea kufuatilia Streets Fighters kwa mafunzo zaidi ya mapambano na maandalizi ya mabondia.

Laat meer zien

0 Comments Sorteer op

Geen reacties gevonden