๐ฅ Pad Work by the Pool I Tanga Beach Resort
3 Visualizzazioni
streetsfighters
06/05/26
โฃHakuna njia ya mkato kuelekea ushindi. ๐ฅ๐ช
Bondia wetu akiendelea kunoa mbinu, kasi na nguvu kupitia mazoezi ya pad work katika mazingira mazuri ya swimming pool. Kila raundi ni hatua moja karibu zaidi na mafanikio.
๐ฅ Endelea kufuatilia Streets Fighters kwa mafunzo zaidi ya mapambano na maandalizi ya mabondia.
-
Categoria
Mostra di piรน

Nessun commento trovato