🥊 Mazoezi ya pad ndiyo sehemu muhimu ya kuongeza speed

1 意见
streetsfighters
streetsfighters
05/19/26

⁣Kupitia pad work, bondia hujifunza timing, movement na namna ya kutoa mashambulizi yenye nguvu na usahihi mkubwa. 🔥💥

Kila round ni hatua mpya kuelekea ubora ndani ya ulingo.

显示更多

0 注释 排序方式

没有找到评论