🥊 MAZOEZI YA PAD 🔥

2 Visualizações
streetsfighters
streetsfighters
05/21/26

⁣Mazoezi ya pad humsaidia fighter kuongeza kasi, usahihi wa mapigo na uwezo wa kusoma maelekezo kwa haraka akiwa ulingoni. Kila pigo linafundisha nidhamu, umakini na movement sahihi za kupambana. Kupiga pad siyo nguvu tu, ni akili, timing na kujituma kwa kiwango cha juu. 👊💥
Kila round ni hatua ya kuwa fighter bora zaidi. Jasho la mazoezi ndiyo siri ya ushindi siku ya pambano. 🔥

Mostre mais

0 Comentários Ordenar por

Nenhum comentário encontrado