๐ŸฅŠ MAZOEZI YA PAD ๐Ÿ”ฅ

2 Tampilan
streetsfighters
streetsfighters
05/21/26

โฃMazoezi ya pad humsaidia fighter kuongeza kasi, usahihi wa mapigo na uwezo wa kusoma maelekezo kwa haraka akiwa ulingoni. Kila pigo linafundisha nidhamu, umakini na movement sahihi za kupambana. Kupiga pad siyo nguvu tu, ni akili, timing na kujituma kwa kiwango cha juu. ๐Ÿ‘Š๐Ÿ’ฅ
Kila round ni hatua ya kuwa fighter bora zaidi. Jasho la mazoezi ndiyo siri ya ushindi siku ya pambano. ๐Ÿ”ฅ

Menampilkan lebih banyak

0 Komentar Sortir dengan

Tidak ada komentar yang ditemukan