đĨ Mazoezi ya punching bag yanaendelea kwa nguvu!
1 āĻāĻŋāĻ
streetsfighters
05/19/26
âŖđĨ Mazoezi ya punching bag yanaendelea kwa nguvu!
Kila pigo linaongeza uwezo, kasi na nguvu ya bondia ndani ya ulingo. Mafanikio huanzia kwenye mazoezi ya kila siku na kujitoa kwa asilimia 100. đĨđĒ
Hii ni kazi, nidhamu na maandalizi kuelekea kuwa mpiganaji kamili.
-
āĻļā§āϰā§āĻŖā§
āĻāϰ⧠āĻĻā§āĻā§āύ

āĻā§āύ āĻŽāύā§āϤāĻŦā§āϝ āĻĒāĻžāĻāϝāĻŧāĻž āϝāĻžāϝāĻŧāύāĻŋ